Nizzoh824
JF-Expert Member
- Apr 27, 2016
- 239
- 140
Habar zenu jaman
Moja kwa moja naomba niende kwenye tatizo lenyewe, Nimekua nkisumbuliwa na titizo la mwili kuwasha na hili hutokea mara nitembeapo kwa miguu kaumbal flani na huanza gafla na jinsi nkiendelea kutembea ndo linaongezeka had inafikia hatua nataman nivue nguo ili nijikune vizuri ila nkitulia nkifanya ka napumzka hali hyo hutulia, na sehemu ya mwili ambayo huathirika wakatichuo ni kuanzia kiunon kushuka chini na halii hii hutokea wakati wa hasubuh mda mwingine hata mchana kama kuna hali ya baridi.
Jamani naomben msaada kwa wenye ufahamu wa hili tatizo