Ulikua unawaza na kuwazua on behalf? Saafi sana, Sina utaalam ila nasikia hata matunda matunda, Juice fresh na mboga mboga zinasaidia kuweka ngozi fresh. Nimesema "nasikia"Naomba msaada wa kitaalamu hapo tatizo litakuwa nini maana nimejaribu kuwaza na kuwazua lakini sina ninachojua, kwa yeyote anayejua naomba atoe ushauri najua hapa kuna wataalamu wa kila aina.
Naomba kuwasilisha.
Ahahahahaha,,, powa mkuu asante kwa ushaurUlikua unawaza na kuwazua on behalf? Saafi sana, Sina utaalam ila nasikia hata matunda matunda, Juice fresh na mboga mboga zinasaidia kuweka ngozi fresh. Nimesema "nasikia"
Mkuu namba tena mwaga madini wengi wapate elimuNipe namba yake
Aende hospitali ndo kuna majibu ya kitaalamu na vipimo.
Nashuru mkuu kwa ushaurAende hospitali ndo kuna majibu ya kitaalamu na vipimo.