Cochabamba
Member
- Feb 4, 2014
- 76
- 98
Hakuna jipya hapo...hizo ni kodi wanazokusanya...magamba na kikwete ni majanga
Na vipi kuhusu zile documents ambazo gari ikipima inabidi isubiri kwa dakika kadhaa ili wapimaji waprint na kuziandika andika?
Nazo zitakuwa zikitolewa bila gari kusimama?
Maana zile documents nazo zinachangia sana foleni inabidi waboreshe na hilo ili mabadiliko yaonekane.
Nielimisheni, je gari likionekana uzito umezidi pia halisimami? Vituo hivi vijengwe nje ya barabara ili visizuie magari yasiyohotajika kupima uzito.
Magamba full mapovu mpaka mnaandika vitu vya ajabu sijui ndo lugha za mapepo ya mbio za mwenge. Check kwenye red.Kwaiyo ulitaka waje wamuombe mama yako hela yakujengea miundo mbinu ya taifa?..acha uchadema ata kwenye hakuna.finyu wee.
Magamba full mapovu mpaka mnaandika vitu vya ajabu sijui ndo lugha za mapepo ya mbio za mwenge. Check kwenye red.
siku hiyo barabara ikipanuliwa ikawa two lanes each side, je huo mzani utabomolewa tena!!!? kwa nini wasingeujenga mbali kidogo ili kuepusha gharama za kuhamisha hamisha wakati wa upanuzi wa hiyo barabara ambao tunasikia uko kwenye mipango ya fast lane to chalinze.
Sijui kama ulinielewa nilichosema hapo juu?
Hapo Sasa umejibu vema.Pole kama sijajibu vema, gari inapoingia ktk mzani itajulikana portfolio yake yote ktk data base so no paperwork labda kama imezidi itapark yard ya pembeni kabisa mwa barabara kwa hatua zingine. Objective ni kuondoa au kumaliza kabisa congestion ya malori ktk Mizani, haina tofauti na mizani ya kisasa ya WIM ya huko walikoendelea!
Hapo Sasa umejibu vema.
Shukrani.
Mkuu wewe upo tanroads au wizara ya ujenzi?
Hapana mkuu nimetokea kuipenda Wizara kwa mambo wanayofanya walau wanajitahidi, mimi ni Mhandisi tu!