Asikate tamaa hata mimi mwaka wa kwanza tu semester ya kwanza bum la quarter two jina halikuja na jina kutumwa bodi,bodi wakasema 'lonee is not registered' while nilisajiliwa chuoni mapema tu lakini wiki hii j3 yamekuja yote cha msingi afuatilie kwa loan board officer wa chuo anachosoma na kama alifanya transfer anatakiwa apewe barua na principal wa chuo husika aende nayo Tcu then Tcu watampa barua aende loan board na tatizo lake litashughulikiwa kwa urahisi na atapata kwa mda mfup tu