Tatizo la mistari kwenye screen

mind ur business

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
416
Reaction score
419
Wakuu heri ya mwaka mpya,

Mwenzenu nimeanza na majanga kidogo. Baada ya kuomba ushauri wa ku activate Window kwa kutumia KMS
Ilishindikana na nikaachana na hiyo issue, so sikuitumia kwa muda kama siku mbili hivi leo nimewasha inaonyesha kitu kama mistari so sijajua tatizo ni nini.

Msaada tafadhali.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
mind ur business,
Hapa unaweza fikiri ni hiyo activator lakini hiyo mistari inanyesha screen ishajifia na hii inaweza sababishwa na yafuatayo
-shoti au kulegea kwa nyaya zinazoleta umeme/picha, au kama unaisafiahaga na maji au iligongwa.
Hii ni first aids.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…