Tatizo la Midomo (lips) kuwa nyekundu- Chanzo, ushauri na tiba

Kula sana matunda mchanganyiko itapotea tu, kwani unafanya kazi gani na upo wapi? Tatizo limeanza lini nijibu ili tujue nini hasa kinasababisha
 
Una upungufu wa vitamini fulani mkuu, tumia vidonge vya vitamin I
 
Mi nmeelewa hapo kwenye uliposema lips za chini zimekuwa nyekundu tu..!
 
Kula sana matunda mchanganyiko itapotea tu, kwani unafanya kazi gani na upo wapi? Tatizo limeanza lini nijibu ili tujue nini hasa kinasababisha
nipo iringa mkuu nafanya biashara,tatizo limeanza miezi miwili iliyopita dah lakini matunda nilikuwa sili sana nashukuru
 
Wadau naomben msaada.

Nina tatzo limenipata kwenye lips yangu imekua nyekundu imepoteza ule weus kabixa. Sasa sijui na tatizo gani.

Yeyote anayejua dawa naomba msaada. Tatzo hili limenikosesha raha kabisa..

Na lina mwez sasa, Kadri siku znavyokwenda linaongezeka nmetumia dawa za hospitali lakini naona amna kitu.
 
Daktar kanipa dawa ila tatzo lipo pale pale.. Pombe mi situmiagi wala sigara sivuti.. Tatizo lilinitokea nikadhan n hali ya hewa kumbe cyo.. Naona linazd kuongezeka.. Kwa yeyote atakaeniambia dawa naahd kumpa zawadi kubwa
 
Mkuu hujanywa mirinda nyeusi kweli?

badilisha mazingira sometimes hali ya hewa inasababisha
 
Back
Top Bottom