Tatizo la meno

Tatizo la meno

Kikapuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
1,200
Reaction score
1,748
Wakuu naombeni msaada wa namba ya kutibu hali hii.

IMG_20250424_165612_809.jpg
 
Usafi tu au nimeona vibaya?

Hakikisha unapiga mswaki kwa siku angalao mara mbili (asubuhi na jioni) hii itasaidia.
 
Nenda kliniki za meno zipo nyingi sana mkuu.
 
Back
Top Bottom