Juzi niling'oa jino sababu hasa lilikuwa limetoboka.Jino hili lilinitesa kiasi kwamba usiku wa siku ya kwenda kung'oa sikulala..Nimeng'oa lakini kuna jino lingine limeshaanza kuchimbika huenda mda sii mrefu tena nitaenda kuling'oa..
Sasa swali langu,ni kipi kinachosababisha mpaka jino kuchimbika?kuna tiba inayoweza kuzuia hili?nina miaka 22 sasa na nimeshang'oa meno mawili nikiwa na miaka 50 sijui kama litakuwepo hata moja....