habari zenu nyoote!
kwa mujibu wa kichwa cha habari hapo juu;Nahisi kuna tatizo ktk settings za kompyuta\laptop.
Ni kwamba MEGABYTES zinawai kuisha fasta,naomben msaada wa kiufundi.
JF ni chakula cha ubongo,utajibiwa kwa kadiri ya uulewavyo au uulizavyo.
vile vile tunashukuru kuwepo wataalamu kama hawa Chief-Mkwawa, tunajifunza meng kupitia kwao.