Tatizo La Matundu ya Pua Kuziba.

Black7

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
367
115
Habar zenu,

mim mara nying najikut matundu ya pua huwa yanaziba na vijidonge donge, vdogo vidogo, vya makamasi vilivyokaukia ndan ya pua, alafu vinakuw vigumu kutok hata ukifanya kama unapenga makamasi.. Au ukivichokonoa vinatok na vinyweleo vya ndan ya pua.

hali hii imekuw inanyim amani mana hpo sasa nakuw napumua kwa shida na natumia nguvu nying kuvuta pumzi ili iingie ndani, na mara kadhaa huw nais maumiv ya kichwa/ubongo, nazan ii inatokan na ubongo kutopata oxygen ya kutosha..

Kwa aliewah kupitia hal hii au anaefaamu anshaur ntumie njia gani, aunifanyenin kukabiliana na hali hii,,.. Ishakuwa kero kubwa kwangu.
 
Mimi matundu ya pua yanaziba ninapokuwa nimelala.nililifatikia hili swala kwa ukaribu wa kitabibu.niliambiwa kuna nyama ndani ya pua hua zinavimba na kushindwa kupitisha hewa.ila hii hali inawatokea sana watu wenye miili mikubwa na ndo mana unaona hua tunakoroma.
Kuhusiana na viganda vya makamasi vinavoganda ndani ya pua hiyo hali isikuogopeshe kabisa ni ya kawaida.hivo viganda ni yale maji maji ya kwenye pua huwa yanakamata uchafu unaoingia kwenye pua usiingie kwenye mfumo wa hewa.then unaganda ili uweze kuutoa kiurahisi.samahan uandish wangu si mzur ila nadhan umeelewa kwa kiasi flani
 
Back
Top Bottom