Tatizo la maji UDOM

Tatizo la maji UDOM

makutopora

Member
Joined
Dec 23, 2014
Posts
28
Reaction score
12
Tatizo hili limekua kubwa kiasi cha kua ni moja ya kero kubwa sana zinazowakabili wanafunzi wa hapa chuoni, huku mamlaka husika zikiwa kimyaaa bila kuleta ufumbuzi wa tatizo hili. Si ajabu ukakuta degree seeker ana wiki hajaoga kwa tabu ya maji!

UDOM.jpg

Tatizo hili limekua kubwa kiasi cha kua ni moja ya kero kubwa sana zinazowakabili wanafunzi wa hapa chuoni, huku mamlaka husika zikiwa kimyaaa bila kuleta ufumbuzi wa tatizo hili. Si ajabu ukakuta degree seeker ana wiki hajaoga kwa tabu ya maji!View attachment 244821

huko ni kutojimbua msomi mzima unakaa wik hujaoga na bado unakaa kimya? unajua kupata maj ni haki yako ya msingi?
 
Eee...Eeeh !! Nchi ina mito kibao ina maziwa kibbao, ina mabwawa usiseme.... Jamanii hawa ndo viongozi wa kesho !! sas asome au akatafute maji?
 
Duh ebu kuwa specific ni college gani maana lichuo lenu hilo ni likubwa kama wilaya!!! Alafu na utujuze wanajamvi mmeamuaje baada ya kero kukosa ufumbuzi.
 
Ukiona hivyo jua dodoma kuna uhaba wa maji, na huwa yanatolewa kwa mgao sio udom peke yako kwani lile bomba kubwa wachina waliokuwa wanatengeneza wakadai litasupply maji chuo kizima halijakamilika
 
Shida hii ya maji ipo kote huku education ndio shida tupu.inapita siku nzima hakuna cha maji wala nn na viongozi wapo kimya sasa haki hii tukidai barabarani itakuaje na hiajawahi tokea UDOSo yenye viongozi wabovu km hawa wana wajibu kuvaa suruali nyekundu tu hapa chuo kuliko kuwasaidia wanafunzi
 
Tatizo hili limekua kubwa kiasi cha kua ni moja ya kero kubwa sana zinazowakabili wanafunzi wa hapa chuoni, huku mamlaka husika zikiwa kimyaaa bila kuleta ufumbuzi wa tatizo hili. Si ajabu ukakuta degree seeker ana wiki hajaoga kwa tabu ya maji!View attachment 244821

Mgombea Urais Mliyejitutumua Kujipendekeza Kwake Anajua Kuwa Watumwa Wake Mna Siku Kadhaa Sasa HAMJAOGA? Hapa Ndipo Mmedhihirisha Kuwa Kweli Nyie Ni Wasomi Wa BRN Pure. Nyie Badala Mumwombe Hela Ya Msaada Atatue Matatizo Yenu Lukuki Yanayowakabili Mlikuwa Mnashikilia Tu Yale Mabango Sasa Kamueni Hayo Mabango Yenu Hadi Yatoe Maji Na Muweze Kujiswafi.
 
Si mdai, ofisi zimefungwa? mtalipuka na milipuko
 
Mgombea Urais Mliyejitutumua Kujipendekeza Kwake Anajua Kuwa Watumwa Wake Mna Siku Kadhaa Sasa HAMJAOGA? Hapa Ndipo Mmedhihirisha Kuwa Kweli Nyie Ni Wasomi Wa BRN Pure. Nyie Badala Mumwombe Hela Ya Msaada Atatue Matatizo Yenu Lukuki Yanayowakabili Mlikuwa Mnashikilia Tu Yale Mabango Sasa Kamueni Hayo Mabango Yenu Hadi Yatoe Maji Na Muweze Kujiswafi.

Huyo mgombea ndiye mwenye mamlaka au waziri wa maji?
 
Walipojipendekeza Kwake Kama Siyo Kujikomba Kwake Kwanini Hawakumlilia Shida Awajengee Visima Vya Maji? Huna Hoja Kaa Kimya.

Mkuu nimeuliza swali mbona sijatoa hoja? sawa mkuu unayejua kujibu.
 
Tatizo hili limekua kubwa kiasi cha kua ni moja ya kero kubwa sana zinazowakabili wanafunzi wa hapa chuoni, huku mamlaka husika zikiwa kimyaaa bila kuleta ufumbuzi wa tatizo hili. Si ajabu ukakuta degree seeker ana wiki hajaoga kwa tabu ya maji!View attachment 244821[/QUOTE

hela za kumchangia lowasa kuchukua form ya urais mnazo leo mnalalamika hiz division five hizi ni shida
 
acha kua na akili za kushikiliwa ww, unadhani kila m2 ni mfuasi wa lowassa hapa chuo, kwa hyo hizo unazoziita pesa za form ya urais ndo zingemaliza shida ya maji? acha ubichwa maji huo??
 
mkikosa koteee muwe mnaenda social block 6 ya masters kwa wakubwa zenu hatujuagi hivo vilio vyenu vya maji. Ukubwa dawa
 
Tatizo hili limekua kubwa kiasi cha kua ni moja ya kero kubwa sana zinazowakabili wanafunzi wa hapa chuoni, huku mamlaka husika zikiwa kimyaaa bila kuleta ufumbuzi wa tatizo hili. Si ajabu ukakuta degree seeker ana wiki hajaoga kwa tabu ya maji!View attachment 244821

Hili ni tatizo kubwa ila kama wasomi pamoja na kuwa sisi masikin tujitahidi kuhoji na kupata haki zetu za msingi hii Nchi ina pesa nyingi sana zinachotwa tu na wanagawana watu wachache huku shida kubwa kama hizi zinatupata. Ifike wakati tubadirike tudai haki zetu bila woga.
 
Kubandika malalamiko kwenye platform kama hii haikusaidii kitu hata kidogo,kila siku nawambia msipojitambua mtaishi kama nguruwe pori na mmeanza hayo maisha ya nguruwe.Uwoga wenu na kujipendekeza kwa watawala ndo malipo yake.Nachokiamini kama mngejitambua hata kwa sekunde moja UDOM ingebadilika pakubwa.
SILAHA YA MNYOMGE NI UMOJA.
 
mkuu umenena . Ongera
 
Back
Top Bottom