Tatizo la maji tabata ni halisi?

Tatizo la maji tabata ni halisi?

Tatizo la maji tabata ni kubwa mno halafu kuna wafanyakazi wa maji ambao wanafurahia sana tatizo hilo kwani ndio kula yao.hawajui shirika lao linaanguka kimapato
 
Hakika niko peke yangu kwenye tatizo hili la maji
 
Leo ni siku 19,415 bila maji ya uhakika dar. Maeneo sugu ni:

  1. tabata;
  2. kimara;
  3. .....
  4. ....

tujaze orodha
 
Liwiti, Baracuda, Mangumi, Chama, Segerea, Kisukuru, Kinyerezi, Kimanga, magengeni, ............
Tumekosa nini kwa Mungu?
 
serikali yetu haiop serious kutatua changamoto za wananchi ikiwemo zilizopo ndani ya uwezo wao kama hii ya maji.
 
Kati ya mahitaji ya msingi kabisa Kwa binadamu ni maji, hivi kwenye karne hii bado maji ni tatizo? tena hapa mjini..hii no aibu Kwa viongozi.
 
Kati ya mahitaji ya msingi kabisa Kwa binadamu ni maji, hivi kwenye karne hii bado maji ni tatizo? tena hapa mjini..hii no aibu Kwa viongozi.

Nilikata tamaa kabisa jana kumuona Waziri wa Maji anasherehekea wiki ya maji hali akijua hali ilivyo kwa maeneo yaliyo mengi, na mbaya zaidi mijini ambako ndiyo kwa wajanja!!!
 
Tunajua watu wa Bunju,Boko,Mbweni,Tegeta Mbezi,Mikocheni,Mwenge,Sinza,M ikocheni M'nyamala,Kinondoni, O'bay na Maeneo ya katikati Jiji mambo yenu safi daima, ndiyo maana tatizo halitatuliwi kwingineko
 
Baadhi ya watumishi wa Dawasco mambo yao safi kwa kuuza maji wakitumia magari yao na kutofungulia maji ya bomba kwa wakazi wa Tabata. Nimepata fununu kuwa Mkurugenzi Mtendaji pia anaishi Tabata na wala haoni tatizo la maji kutoka mara moja kwa mwezi, na kwa muda wa dakika 40 tu.
 
Wengine wanadai eti mgomo baridi kwa kuwa hawamtaki Mkurugenzi Mtendaji. Wananchi tunaendelea kuteseka kwa uzembe wa watu wachache. Wanajua hakuna mtu wa kuwagusa. Haya bwana, tutafanyaje. Sawa tu
 
Wananchi wa Dar wapole kama maji mtungini wala hatulalamiki ila tunasema tu
 
Wananchi wa Dar wapole kama maji mtungini wala hatulalamiki ila tunasema tu

Kaka mm kiukwel nshachoka...maji ya dawasco yamekua bidhaa adim tabata...siku yakitoka n dk chache na hua wanatoa siku mvua ikinyesha....note that af utasema.....
Kiukwel huu n ukiritimba wa hal ya juu
 
Halafu cha kushangaza tuna kaofisi pale Tabata shule na wafanyakazi wapo kila siku sijui wanafanyaga nini kila siku na mwisho wa mwezi wanakinga kamshahara kao safiiii
 
Mi nilishasahau kabisa khs maji ya DAWASCO.
Tunaoga ya Kisima, tunakunywa UHAI maisha yanaenda
 
Back
Top Bottom