Miradi ya maji huwa wanai over utilize alafu badae maji yanakosekana.Kuna tatizo la maji wilayani moshi Mkoani Kilimanjaro. Rai Yangu Viongozi mbona hatuoni kazi yeyote?
Haswa Kata ya Mwika kusini.Mwenyekiti wa kitongoji, mwenyekiti wa Kiniji wote ccm Diwani ni ccm, Mbunge ccm. sasa inatakiwa tufanye nini?Kuna tatizo la maji wilayani moshi Mkoani Kilimanjaro. Rai Yangu Viongozi mbona hatuoni kazi yeyote?
samahani elitege. Nilimlenga KinyunguMagufuli ndiye alimtuma kufanya maovu na ameshalipa
Nyinyi si mnasemaga mlishaendelea tokea uhuru! Wachaga acheni sifa zisizo na kichwa wala miguu! Mnalia nini wakati nyie mna rami na mabomba ya maji tokea uhuru!Nadhani Moshi ni afadhali. Nenda mji wa SAME, Kilimanjaro. Katikati ya mji hakuna maji ya bomba huu mwaka wa 60 baada ya uhuru. Kuna mradi wa mabilioni mpaka leo hakuna kitu. Viongozi wamekuwa hodari kuuzia wakaazi maji. Mwanga afadhali.
Yaani hawa wanajifanyaga wana maendeleo utafikiri moshi kuna viwanda vya magari ukifika ndo utasitaajabu ya Musa! Mji umedumaa hamna kitu utalii nao unazidi kushuka sambamba na theluji ya mlima kilimanjaro inazidi kuyeyuka! Nyie acheni mbwembwe saizi kila mtu anapambana na hali yake!Acha uongo..nyie si ndio mnasemaga moshi hamna dhiki ndogo ndogo?
Uko moshi ipi wewe?Kuna tatizo la maji wilayani moshi Mkoani Kilimanjaro. Rai Yangu Viongozi mbona hatuoni kazi yeyote?
Rombo shida ya maji imepungua sana..watu wanaoga mara tatu kwa siku..nilienda home juzi maji yanatoka mengi kinoma..sijawahi kushuhudia hilo kipindi cha nyuma.Haswa Kata ya Mwika kusini.Mwenyekiti wa kitongoji, mwenyekiti wa Kiniji wote ccm Diwani ni ccm, Mbunge ccm. sasa inatakiwa tufanye nini.? Tulikuwa na MTIRO PIPE tangu enzi za mkoloni na tulikunywa maji ya kutosha mpaka usiku tulimwagilia migomba na kahawa for free. Chanzo kipo tu hapo lole. Maji yote yakaelekezwa rombo. Chanzo kipo kata ya Mwika Kaskazini. ila maji yote ROMBO. Why?
mkuu ni vyema ukataja ni Moshi manispaa au Moshi vijijini? Na ni kata ipi Maana hapa Moshi mjini sijawahi sikia kama kuna sehem kuna shida ya majiKuna tatizo la maji wilayani moshi Mkoani Kilimanjaro. Rai Yangu Viongozi mbona hatuoni kazi yeyote?
Ww nae muongo same ipi unaisemeaNadhani Moshi ni afadhali. Nenda mji wa SAME, Kilimanjaro. Katikati ya mji hakuna maji ya bomba huu mwaka wa 60 baada ya uhuru. Kuna mradi wa mabilioni mpaka leo hakuna kitu. Viongozi wamekuwa hodari kuuzia wakaazi maji. Mwanga afadhali.
Baada ya ccm kupora nadaraka moshi imekuwa ovyo kabisaAcha uongo..nyie si ndio mnasemaga moshi hamna dhiki ndogo ndogo?