Nel Nelson
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 154
- 43
Leo ni siku ya 3 hakuna maji katika maeneo ya kata ya Rwamishenye na BUWASA wamekaa kimya kana kwamba hapo ofisini hakuna wahusika kitu kinachosababisha usumbufu mkubwa kwa raia, kwa maana dumu moja la maji mpaka leo linauzwa kwa Tsh: 1,000/= jaribu kufikiri kwa mtu mwenye familia ya watu 10 wakiwemo watoto anahitaji shilingi ngapi ili kuweza kumudu hiyo gharama? TUNATESENA....