Tatizo la maji maeneo ya Buhongwa, Mwanza

Tatizo la maji maeneo ya Buhongwa, Mwanza

namba force

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
758
Reaction score
434
Wadau nadhani maji ndo kila kitu kwa Maisha ya wana wa damu. Maeneo ya Buhongwa hasa Kageye kuna tatizo kubwa la maji yaani kwa mwezi yanatoka dk 10 tu. Cha ajabu bill za mwezi zinatoka tu.

Wadau hii imekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani mkuu Kama huku kwetu wanatoa sababu eti wanaunga mabomba yaliyokatwa kwenye ujenzi wa barabara ya buswelu-sabasaba Leo inakaribia wiki maji ya kusua sua,tukifuatilia sababu ndo hizo ,Yani ni shida asee
Maeneo ya huku hawana sababu kabisa na wametulia ofisini tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom