tatizo la maisha bora kwingineko...

najihisi nyumbani.....kumbe JK yupo hadi kwa wakina "hu haaa"
 
Good manhari. hata kama wana maisha magumu wanapata hewa saaafiiii!!!!!!! na kuna uwezekano hata mchicha unaota vizuri saana pale. So mboga ipo!!!!!!!!
 
huko kama sio Mashariki ya mbali mitaa ya Cambodia, Laos etc basi ni pande za central america maana huko maisha pinda mbaya watu wanaishi kwa kuuza cocaine, opium na ndumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…