Tatizo la mahusiano

Tatizo la mahusiano

Maho gel

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
308
Reaction score
99
Jamani nimeshawahi kuwa katika uhusiano mwaka uliopita na mvulana mmoja ambaye nilimpenda sana , Lakini kuna siku aliniazima simu yake ndipo nilipoziona meseji ambazo alikuwa anachat na ex gel friend wake.

Walikuwa wakinijadili wakati huo alisema ameshaachana naye mfano, huyu mvulana alikua anamwambia kwamba kuna huyu msichana ananipenda sana na kati mi sina muda naye, anajipendekeza kwangu , mi sina muda nae n.k.

Nilishindwa kuvumilia sababu the way nilivokuwa nampenda niliumia sana basi nkaamua kuachana naye. Ninapata shida sana kuwa katika mahusiano kwani sibahatiki kumpenda mtu.

Na hata nikimpenda basi naweza kuamua kuwa nae lakini nikimkumbuka yule guy wa kwanza alivonifanyia na jinsi nilivompenda naamua nisikubali kuwa na mtu huyo?

Nifanyej ili nirudi katika hali yangu ya kawaida ?
 
Tafuta mwanaume humu jf atulize mtima wako
 
jamani nishawahi kuwa na mahusiano na mvulana niliempenda kumbe yeye alikuwa kama ana cheat coz kuna siku nliazma simu yake nliziona meseji nying kweny sent item akichat na x gel frend wake, kwa kunisema mfan .mimi sas hivi sipo kwenye mahusiano lakini kuna huyu msichana ana act kunipenda lakini mie sina muda naye, anajipendekeza kwangu, na hawez kuwa kama you ma x, vitu kama hivo viliniumiza sana nikaamua niaachane nae kwa sababu nlimpenda sana na niliona nitazidi kuumia, tatizo ni kwamba tokea niachane naye cjabahatika kumpend mtu na inaweza ikatokea mvulana nina hisia nae but najikuta tu ghafla simpend na siwez kuwa nay katika mahusiano? Hali hii inasababishwa na vitendo alivonifanyia yule mvulan. so nifanyaje ili niondokane na hali hii?
 
umeni coute vibaya sihitaji chochote zaid ya ushauri, sijassema natafuta mpenzi.nmesema nifanyaj ili hali ya kuwachukia wengne iondoke
 
Poleee....Ila acha kuidhulum nafsi yako haki ya kupenda tena..!!
 
sidhni kama umenielewa sijasema natafut mpenzi, wanaonipend wapo ila natokea tu kuwachukia so ushaur wako uhusian nifanyej li atleast moyo wang uwe kawaida
 
chukua wakati kidogo, kama unasoma maliza shule kwanza kama unafanya kazi jipe muda kidogo kuwa bize na kazi baada ya mwaka hadi mwaka na nusu hivi utakuwa okay, na Umchunguze mtu vizuri kabla ya kumkubali. UWE MAKINI SANA.
 
Back
Top Bottom