Kabayser
Member
- Mar 6, 2013
- 78
- 18
Heshima zenu wadau naombeni ushauri wenu kuna mpenzi wangu na mpenda sana lakini kila nikitaka kuonana naye anaanza maneno na mipango ambayo haina maana sana na mahusiano yangu na yeye papo hapo kuna vipancha vya kufa mtu kuombana hela bila mipangilio maalumu!!!!! Je nifanye nini wadau?????