Pamoja na kashfa zake Sefue alimsaidia sana Kikwete kwenye kuhakisha anafuata vitu muhimu na kufanikisha mambo muhimu kwa nchi. Sefue alikuwa anahakikisha sera za ikulu ni endelefu hii ni pamoja na kuanzisha na kuweka sera za oil and gas pamoja na pipeline, kutuingiza kwenye pipeline ya Uganda, sera ambazo zilifuata nchi ya Malaysia n.k alikuwa ni mtu wa strategy.
Pamoja na hayo alihakikisha tuna weka wawekezaji kwenye mazingira mazuri. Mafuguli naona hakuna management nzuri ya message, nchi haina strategy endelefu wanazungumzia viwanda lakini hawana njia ya step kwa step ya kufika hapo imekuwa kwamba kiwanda kinafunguliwa ndiyo mwekezaji wana deal naye kibinafsi mfano Bakresa kuomba umeme kibinafsi pamoja na shamba, Dangote kuomba gas na makaa ya mawe kibinafsi ..... hakuna sera endelefu ya viwanda wala sehemu nyingine.
Tatizo kubwa ni katibu kiongozi mwenye kazi ya kubadilisha sera kwenda kwenye utekelezaji sasa Magufuli anaweza katibu ambaye hawa proven record ya utekelezaji.
Hii nafasi inefaa mtu ambaye ana experience kutoka kwenye sera binafsi au hata biashara mfano Ali Mfuruki wa infotech na wengineo kama yeye ambao kwenye watasaidia kuweka message na utekelezaji. Sasa ikulu kuanza kushughulikia issue za vyeti vya makonda, Nay wa Mitego ..... haisaidii nchi hata kidogo.
Hata kwenye vitu kama mahakama ya rushwa hakuna kitu wala mtu yeyote kapelekwa huko. Ushauri Magufuli badilisha katibu mkuu kiongozi na usiweke professor, Dr bali tafuta mtu mwenye kuweza kuleta mabadiliko na kuweka focus