unyakudongo
Member
- Apr 8, 2014
- 64
- 44
Kwa mwenye uzoefu ama aliyewahi kuugua ugonjwa wa macho katika upande wa optic nerve na kumfanya kuwa na uoni hafifu anisaidie uzoefu aliobao kuhusu ugonjwa huo.mimi pia nina matatizo hayo huu mwaka wa 4

Umepimwa hiyo optic nerve wapi