Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Sasa wewe unajua jins ya kutibu hiyo case lazima uanze na whitefield( comb of salicyclic acid and benzoic acid) though lazima itam irritate sana hasa kweny hizo pumbu

Ukija kwenye skdem baada ya juu kugoma ni vizuri sana kwa maana ina combination of more different drugs(for fungal, bacteria, allergic) ila hata kinheal ipo vizuri kweny hyo case.
 
Wanajamii,je ni dawa gani au ni tiba ipi inatibu fungus sugu zilizo sehemu za siri yaani ndani yanapoanzia mapaja kwenye maeneo alipo mzee wa kazi.Naomba ushauri
Pole sana kwa changamoto hiyo, tuwasiliane ufike ofisini au kwa ushauri, nikupatie matibabu kwa uhakika umalize changamoto hiyo ya bacteria hao katika sehemu za siri
0784969283
 
Pole sana ndugu yangu, Tatizo hilo linatibika na kupotea moja kwa moja
Tuwasiliane kwa ushauri na matibabu
0784969283
 
Salute wakuu

Sifa na utukufu zirudi kwake Mola mlezi alieumba magonjwa na tiba zake ninayofuraha kubwa kuwashirikisha dawa rahisi iliyonitibu ugonjwa ulionisumbua kwa muda mrefu.

Ugonjwa wa fangasi umenitesa sana pamoja na kuwa usafi nilizingatia sana, chupi nilivaa za pamba, situmii sabuni nikiwa najisafisha sehemu za siri lakini bado niliendelea kuumwa.

Katika kusoma nikagundua shida ni goita niliyonayo,dawa nilishachoka kutumia hivyo nilifanya kujaribu tiba ya mtindi na kitunguu swaumu.Wale wenzangu wenye tatizo la fangasi sugu sehemu za siri naomba mjaribu tiba hii.
 
Hongera kwa kupona mkuu
 
wewe ni jinsia gani?
 
Dalili zake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…