Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama nakuona vile Mkuu umesepa darasani umejificha mahali unakuna pumbu kwa raha zako huku macho yakiwa busy kulinda usalama wa eneo. 🀣🀣

 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kama nakuona vile Mkuu umesepa darasani umejificha mahali unakuna pumbu kwa raha zako huku macho yakiwa busy kulinda usalama wa eneo. 🀣🀣
Nilikuwa Santana kwa muda
 
Reactions: BAK
Dawa gani ulitumia?
 
Ila huu ugonjwa wakati unajikuna ni rahaaaa utamu nyie acheni tu. Pond boys Minaki kwa Jokate asalaam aleikum

Maji ya pondi yalitufanya vibaya sana. Me kuoga ilikuwa weekend nikidrop. Otherwise Nilikuwa naoga kutumia Newton’s law of cooling.
Bora wa pugu walikuwa wanaweza kwenda ktk private bafu kuoga.....
Na hii erosion haijaisha completely mpaka Leo ...
 
ila pumbu erosion huu ugonjwa nimecheka sana leo ila kiukweli muandika uzi una akili sana maana mm naona ndio naugua sasa hivi maana nawashwa kweli hadi kidonda kinatokea
 
Chuo hii kitu imenitesa sana nilinunuaga dawa inaitwa whitefields daah sasa ukioga pumbu linatoka ngozi ya juu juu inabaki ile ya ndani.yaani km fundi anavoziba pancha anasugua tairi ili apake dawa azibe sasa ndoivo inavokuwa.maumivu yake sio ya kitoto.yaani nilikuwa nikipaka naruka ruka na kuwasha feni huku mlango ukiwa umefungwa maana akija mtu ni aibu
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…