ndege joni
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 689
- 1,126
Mkuu kama unataka msaada na nn kifanyike bila kuogopa MTU....coz ishakua kero sana kwa madreva na wamiliki wa magar na kwasababu we n miongoni mwa watu walioumizwa n vzur ukaweka waz n kiac gan wanaomba kama rushwa na kituo gani. ...naamini maeneo hayo hiyo tabia itakoma na endelea na sehem zngine
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio wanaongoza kura rushwa nchi hii.
Sasa hivi kwenye mabasi makubwa ya mikoani wanawatumia wale jamaa wanaouza soda, biskuti, mayai n.k, konda anamwita dogo m anayeuza soda na kujifanya anampa hela yake anayomdai kumbe hela inaenda kwa ndugu zetu wa usalama barabarani.
Tunaamini uongozi wa juu kabisa unajua hizi mbinu za hawa jamaa.
Ha ha ha ha eti ndo wanajenga peke yao wakati huu.Habari zenu wadau...
Mimi ni mmiliki wa gari ya abiria na pia ni konda wa gari yangu. nafanya route kutoka sehemu moja mkoani mwanza.
Kinachonipa shida ni hawa askari wa barabarani, wanatusumbua sana.
Nielezee kidogo kero. Wametuwekea utaratibu wa kuwapa rushwa kila siku tsh.... kila kituo walipo hawa askari. Hii haijalishi gari ni bovu au zima, sasa unakuta wilaya moja mf. Misungwi wana vituo vingi sana barabarani. Utalipa nauli zote ulizokusanya kwa hawa jamaa. Usipowapa ndo wanaanza kukagua gari, na lazima wakukute na kosa. Mara hujavaa uniform, mara tairi, kioo kina kreki, tiketi, mkanda n.k takataka kibao. Utalipa kila kosa 30,000. Usipolipa gari inapelekwa kituoni. Shotikati ni rushwa tu
Raisi wetu mtukufu tumempa kura atusaidie, tunamwomba kwa misimamo yake tunayoiona atuangalie. Magari mengi ya mkopo tunaumia. Maaskari wa barabarani hawamsaidii kusaidia wananchi, wanakula zao tu. Ukiangalia ndio watumishi pekee wanaojenga nyumba bila shida. Na ndio wanaomiliki magari
Sheria ni msumeno, haiangalii sura ya mtuHii kero hadi kwa wafanyakazi wa taasisi mbalimbali na serikali. Tunawawahisha kazini lakini wakikuotea hawa wala rushwa.... lawama tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nakuhakikishia hawezi sema lolote. Maana gari lake ni bovu, hata aje nani lazima alipishwe fainiMkuu kama unataka msaada na nn kifanyike bila kuogopa MTU....coz ishakua kero sana kwa madreva na wamiliki wa magar na kwasababu we n miongoni mwa watu walioumizwa n vzur ukaweka waz n kiac gan wanaomba kama rushwa na kituo gani. ...naamini maeneo hayo hiyo tabia itakoma na endelea na sehem zngine
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kumjibia Mh Mwigulu hapa. Wewe mwenyewe umeonesha ubovu wa gari yako, na ndivyo ilivyo kwa sehemu kubwa ya magari ya abiria hasa dala dala. Nyingi ni mbovu hazifai kwa matumizi ya biria. Kabla ya kuwalaumu trafic tufikirie pia magari yetu. Mfano, gari binafsi kama haina mapungufu mbona huwa hazikamatwi??? Nadhani acha trafic waendelee na kazi zaoHabari zenu wadau...
Mimi ni mmiliki wa gari ya abiria na pia ni konda wa gari yangu. nafanya route kutoka sehemu moja mkoani mwanza.
Kinachonipa shida ni hawa askari wa barabarani, wanatusumbua sana.
Nielezee kidogo kero. Wametuwekea utaratibu wa kuwapa rushwa kila siku tsh.... kila kituo walipo hawa askari. Hii haijalishi gari ni bovu au zima, sasa unakuta wilaya moja mf. Misungwi wana vituo vingi sana barabarani. Utalipa nauli zote ulizokusanya kwa hawa jamaa. Usipowapa ndo wanaanza kukagua gari, na lazima wakukute na kosa. Mara hujavaa uniform, mara tairi, kioo kina kreki, tiketi, mkanda n.k takataka kibao. Utalipa kila kosa 30,000. Usipolipa gari inapelekwa kituoni. Shotikati ni rushwa tu
Haliishii hapa, hawa ni askari tu wa barabarani. Ikatokea akaja vehicle, haangalii ushalipa ama bado. Ndo anakagua upya na lazima ulipe. Na tochi walizowapa ni kwa ajili ya ulaji wao na sio kusaidia abiria. Kwa sababu gari zinapunguza spidi wakipeana ishara kuwa kuna tochi.
Waziri wa mambo ya ndani uko wapi? Tunaomba tusaidiwe muweke utaratibu vizuri. Maaskari wanapata pesa nyingi kuliko hata wamiliki wa magari, tuna majukumu mengi na familia tuangalieni. Kama gari ina tatizo... bora itolewe barabarani kuliko kuwatesa watu kiasi hicho. Abiria pia wanaathirika kiasi kikubwa, tunawachelewesha kwenda kwenye kazi zao kwa sababu ya hawa wala rushwa.
Raisi wetu mtukufu tumempa kura atusaidie, tunamwomba kwa misimamo yake tunayoiona atuangalie. Magari mengi ya mkopo tunaumia. Maaskari wa barabarani hawamsaidii kusaidia wananchi, wanakula zao tu. Ukiangalia ndio watumishi pekee wanaojenga nyumba bila shida. Na ndio wanaomiliki magari
Hawezi, katabia hako kanamunufaisha sanaWahusishe TAKUKURU...
Baaasi
Huu ndo ukweli. Nakudhihirisha siyo msafi, ameshindwa kuwataja hao askari basi hata kusema nieneo lipi. Maana hata wakibadilishwa wakaletwa wengine, makosa yake hayuko tayari kuyarekebisha, na kamfumo ka rushwa yeye ndo anakaendelezaNaweza kumjibia Mh Mwigulu hapa. Wewe mwenyewe umeonesha ubovu wa gari yako, na ndivyo ilivyo kwa sehemu kubwa ya magari ya abiria hasa dala dala. Nyingi ni mbovu hazifai kwa matumizi ya biria. Kabla ya kuwalaumu trafic tufikirie pia magari yetu. Mfano, gari binafsi kama haina mapungufu mbona huwa hazikamatwi??? Nadhani acha trafic waendelee na kazi zao
Kama gari yangu ina matatizo watuambia tuondoe barabarani mpaka turekebishe. Kwani kurekebisha kuna tatizo? Ishu ni kuwa wanataka gari mbovu ziwepo ili wapate ulaji. Licha ya hilo hata zile ambazo ni nzima wanakomaa nazo vitu vidogovidogo. Ukiwa mbishi wanakuacha siku ukiingia anga zao utajuta kuzaliwaNaweza kumjibia Mh Mwigulu hapa. Wewe mwenyewe umeonesha ubovu wa gari yako, na ndivyo ilivyo kwa sehemu kubwa ya magari ya abiria hasa dala dala. Nyingi ni mbovu hazifai kwa matumizi ya biria. Kabla ya kuwalaumu trafic tufikirie pia magari yetu. Mfano, gari binafsi kama haina mapungufu mbona huwa hazikamatwi??? Nadhani acha trafic waendelee na kazi zao