Tatizo la Lipumba Cuf ni Lowassa

Tatizo la Lipumba Cuf ni Lowassa

we acha kujitoa akili ule mkutano uliovunjika ulikuwa wa chama gani? Na ni maamuzi gani yalitolewa? Saa nyingine tumia akili acha upuuzi wako
Hoja yako ni nini hapa? Ulikuwa wa cuf ila ulifuata baada ya lipimba kutengua maamuzi yake!
 
Wakuu mnaomquote mtoa mada mnatuboa , toeni maoni yenu tu ..

[HASHTAG]#Sipendagi[/HASHTAG] ujinga
 
Sisi tunawaza katiba yetu inavunjwa wewe unaleta umbea kama unataka siasa zaumbea peleka kwakina diamond huko narudia tena kweli bado manyani hasa ficiem sisi tunawaza katiba babuuu
Tusaidie vifungu vilivyokiukwa.
 
Ninachojua cuf waliitisha mkutano mkuu wakaridhia pro.lipumba kujiuzulu.....lakini uchaguzi wa mwenyekiti haukufanyika kutokana na vurugu.....Mtatiro akachaguliwa mwenyekiti wa muda ......
Acha uwongo wewe! Barua ya kujiuzulu Lipumba haijawahi kujadiliwa na Mkutano Mkuu tangupo! Lipumba ni Profesa ujue. Sio mjinga kama wewe! CUF wajilaumu wenyewe kwa kuzembea kuhitimisha kujiuzulu kwa Lipumba
 
Wewe na nani?.......i don't argue with illogic personnel
Ndomana nasema bado manyani kingereza chanini kwa mtanzani yani nimsomi au alafu cheti chako nihalali kweli au ndowale nimekosa mkubwa niuee jiulize wewe
 
Humu JF CUF inatetewa na pro Lowasa na CDM ......ila jana vijana wa CUF na watetezi wa Lipumba walijitokeza kwa wingi na kumuunga mkono......wale ndio CUF.
 
Inakuwaje Mh.Mbowe hajaathirika na nguvu ya mvuto?
 
Tatizo ya Lipumba CUF ni Lipumba mwenyewe mchawi huwa hatoki mbali ni ndani ya nyumba au ndugu yako wa karibu..akishirikiana na wachawi wenzie ccm kung'ang'ania uongozi kwa nguvu
 
Ndomana nasema bado manyani kingereza chanini kwa mtanzani yani nimsomi au alafu cheti chako nihalali kweli au ndowale nimekosa mkubwa niuee jiulize wewe
Hata kuandika kwenyewe huwezi......idiot.......I'm just ignoring u ....won't reply to or quote u again.
 
Kweli mwanamke ni kichwa cha Familia ambao hatujaoa tufanye ivo uwenda haya yanisengetokea
 
Acha uwongo wewe! Barua ya kujiuzulu Lipumba haijawahi kujadiliwa na Mkutano Mkuu tangupo! Lipumba ni Profesa ujue. Sio mjinga kama wewe! CUF wajilaumu wenyewe kwa kuzembea kuhitimisha kujiuzulu kwa Lipumba
Ule mkutano wa CUF ulijadili nini na walifikia makubaliano gani? Na kura uliyopigwa ilikuwa ya nini? Tuanzie hapo kwanza
 
Tunamjadili Lipumba wa nini wakati katumwa ?CUF wawe makini sana na huyu jamaa
 
Back
Top Bottom