Tatizo la laptop kuunguruma wakati unatumia

the horticulturist

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2012
Posts
1,959
Reaction score
1,929
Natumia laptop ya yakumo D27,ina hdd ya 40gb,rom ya 2.6ghz na ram ya 480 mb.Ikiwa naitumia fan inatoa sauti kama umewasha blenda ila ikiwa on ila hutumii inanyamaza inakua kimya kabisa au inapga kelele na kunyamaza.Naomba mnisaidie solution maana mm si mtaalam wa computer ingawa niliwaza huenda ni ram nikanunue ram atleast ya 2gb sasa kabla sijafanya hilo nimependa kupata uhakika wa kitaalamu wa kumaliza hili tatizo,ram inatumia D1.
Natanguliza shukrani
 
1. nunua flash kubwa nyonya kila kitu kilichopo kwenye hiyo laptop kiweke pembeni fasta

2. kisha jikusanye nunuaa laptop nyingine kwa kuwa hiyo ipo ukikongoni kabisa mwa uhai wake.

Tena hilo la kuokoa data fanya leo-leo usiweke ajizi.

computer huwa zinatoa milio miwili: mlio wa hard disk kama kuna paka anatafuna mifupa ya samaki. hiyo ni ishara mbaya
computer huwa ina inatoa mlio kama wa kwako kutoka kwenye feni. hili huwa linaweza kurekebishwa kwa kubadili feni, lakini utaingia gharama ambayo si ya lazima kwa sababu kwanza computer yako si ya thamaaaani, kiasi hicho. nunua tu ingine achana na huo mkebe kabla. Ila okoa data zako fasta.
 
thnx kwa ushauli ndg,n laptop ya kusomea tu so si ya matumiz ya maana sana ndio maana napenda n solve tatizo ndg
 
kama mwanafunzi then I can understand. pole. katika maana hiyo basi pengine jaribu kuongea na fundi mwenye roho nzuri aangalie uwezekano wa akufanya blower-blower vumbi maana nazo huwa zinaweza kusababisha hali hiyo. kama haikufaa basi step two iwe kuweka fan nyingine. ukijieleza kama mwanafunzi nadhani atakuwa na huruma asikupe charge ya kutisha sana. pole.... lakini bado ni vizuri ukawazia kununua nyingine.
 
ndg once namaliza hii semister nachukua nyingne kwa sasa nasoma microsoft office ndg
 
mpe nakav

tofauti ya wasomi na wasindikizaj n kubwa ukiwa makini utaitambua tu,elimu yake kama anayo hamsaidii na pia si busara kurumbana na asiye na utimamu.Dah kweli kuwa uyaone hivi huyu ndio anakua sturf wako au hata sturf mwenzio kazi mnaharibu vibaya
 
mwenyewe tumbo hapa laningurumaaaaa yaaani nafikiria ni-restart my BREAKFAST

Wewe naye kama ni mwanafunzi tafuta fundi yeyote mwenye roho safi akufanyie blower ndani ya tumbo nahisi mafuta yameganda ndani ya tumbo lako. Fanya backup ya utumbo wako haraka.
 
je laptop yako ina over-heat? kama ndio jaribu kusafisha cooling system ya laptop....
 
probably tatizo kubwa hapo ni hard disk try to change it. because mara nyingi hiyo ni dalili kuu ya storage device kuchoka kwenye computer KITAALAMU
 
RAM yako ni ndogo though tatizo la fan inaweza kuwa too much dust pia..je computer inakua ina overheat? Ongeza RAM na tafuta mtu afungue kutoa vumbi
 
Thnx ndg,umenipa solution,nitayafanyia kazi,vp ram za D1 zinauzwaje!?
 
Wala usiangaike kwenda kwa fundi fuata hizi hatua
1:Angalia kama pc yako kama ina vumbi then ufuate hatua ifuatayo
2:zima pc na utoe betri
3:Tumia kifaa kama drier au feni(chochote kinachoweza kutoa upepo) thn upulize sehemu yote ya feni mpaka usikie feni inazungua wakati unaipuliza kwa mdomo au acha we puliza tu kwa drier
SOMETIME UNAWEZA PULIZA HATA KWA NJE KUPITIA MATUNDU YA NJE
4:washa pc yako na uinjoy masomo
NISHUKURU MAANA HILO TATIZO LAZIMA LIISHE
 
nitarud na ripoti kamili,thanx ngoja nitafute drier
 
kama ukikosa hiyo drier au kukosa means nyingine waweza ni check kwa 0659-995445,0783-722831 au 0757-032976 anytime maana mimi ni mobile/movable technician usiogope kuhusu price just give me a call
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom