AfricaUnited
JF-Expert Member
- Jul 31, 2010
- 2,417
- 1,389
Msaada waungwana, toshiba laptop yangu imezima kabisa baada ya kuchomeka USB wakati nachaji simu, msaada maana hata dalili ya taa moja hakuna.
Haiwaki kabisaa.Mkuu ina maana hata ile taa ya kuonyesha charge kuingia ukichomeka adopter haiwak?
Windows hiyo piga chini!!!!
Mda ule una unachomeka, usb ndo uliaharibu mambo..
jarbu kuchomoa betri afu uweke tena! or badilisha adapter azima hata kwa jiran.
if the problem persist dont hesitate to to see, a computer hardware technician, may be kuna kitu kimeungua..
note: ni kama haiwaki kbisaa, ila kama inajizima kama ulivodai kwa heading yako it means inajiwasha litakua ni software issue na waweza pata msaada hapahapa.
Mh Sidhani kama kuna laptop/PC isiyo na cooling system?imezima kabiaa yaani.nipo kwa fundi ilala machinga complex kwa fundi.anadai eti anaashaangaa pc haina feni..toshiba gam hain fen
Mh Sidhani kama kuna laptop/PC isiyo na cooling system?
huyo fundi ni Kanjanja au umelizwa na jamaa zako.
Tatizo kama langu mkuu. Acer yangu ilizima juzi ghafra na hata nikicconnect kwenye power bado haioneshi hata taa ya chaji...
mkuu imekuwaje.umepeleka kwa fundi.mi pc yangu mpya .ina,miez 9 tu
Tafuta mtaalam wa komputer karibu akusaidie ,matatizo mengine ni vizuri mtu aone hiyo laptop.Kwa kuambiwa na watu usio nao physically unaweza fanya ukasababisha matatizo makubwa zaidi.Msaada waungwana, toshiba laptop yangu imezima kabisa baada ya kuchomeka USB wakati nachaji simu, msaada maana hata dalili ya taa moja hakuna.
imezima kabiaa yaani.nipo kwa fundi ilala machinga complex kwa fundi.anadai eti anaashaangaa pc haina feni..toshiba gam hain fen
Kutojua vitu nikuibiwa, hakuna computer bila fan, pale machinga kanjanja wengi, ungekuja humu tukuelekeze mafundi salama. Pale wananunuaga spare watch out