Tatizo la kuwashwa kwenye uume

Tatizo la kuwashwa kwenye uume

Mtandaoni

Senior Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
134
Reaction score
65
Wandugu wapendwa poleni na mihangaiko ya kila siku, tatizo linalo nisumbua ni kuwashwa sehemu ya kichwa cha uume wangu yaani kunakuwa kama kuna mdudu anatembelea ndani, kujikuna ni shughuli inabidi niipikiche kila hadi sasa nahisi maumivu, isitoshe kuna vinundu vinatokea happened. Jaman labda kuna dawa ya kutibu tatizo hili naombeni mwenzenu nitibike. Au inaitwaje nikanunue
 
kwanza kapime mkuu ujue tatizo ni nini.
 
Wandugu wapendwa poleni na mihangaiko ya kila siku, tatizo linalo nisumbua ni kuwashwa sehemu ya kichwa cha uume wangu yaani kunakuwa kama kuna mdudu anatembelea ndani, kujikuna ni shughuli inabidi niipikiche kila hadi sasa nahisi maumivu, isitoshe kuna vinundu vinatokea happened. Jaman labda kuna dawa ya kutibu tatizo hili naombeni mwenzenu nitibike. Au inaitwaje nikanunue
Ndugu zangu nami nimepatwa na hili janga naomba usaidizi wa mawazo au dawa gani nitafute tafadharini au mwenyew hii post aliponaje?
 
Back
Top Bottom