Mkuu tafadhali elezea kiundani zaidiHellow
Kuna jambo linanitatiza. Nilisafiri October last year nilitoka Dar kwenda Moshi nilipofika asubuhi miguu ikawa imevimba (kwa chini si mguu wote) wakaniambia ni safari itakaa sawa ndio mara ya kwanza kuvimba mguu.
Juzi kwenye mkesha wa mwaka mpya kanisani ,asubuhi naona miguu imevimba tena na haina maumivu, jioni ya tarehe moja ikawa sawa.
Uzito: Nimepungua kutoka 95 - 75 kgs.
Wapendwa shida yaweza kuwa nini haswa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafadhali elezea kiundani zaidi
je kwenye uvimbe ukibonyeza kuna vishimo hutokeza na kupotea baada ya muda mchache?
Unajisikia maumivu yeyote yale sehemu nyingine ukiachana na miguu?
Vipi kuhusu joto lako la mwili?
Chakula unakula kama kawaida au kuna mabadiliko?
Vipi kuhusu kukojoa? unakojoa kama kawaida au umeongeza route za kwenda chooni?
Pia kuvimba kwa miguu kuna utofauti wa asubuhi unapoamka,mchana na usiku unapolala? namaanisha size ya uvimbe kwa ujumla
Unajihisi kuchoka na kupumua kwako kukoje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je na kwa mama mjamzito kuvimba miguu pia ni Nini chanzo?Nenda hospitali ukaangalie presha yako kama iko Sawa. Iwapo ukibonyeza mguu unabonyea kama papai na kurudi kawaida baada ya muda mfupi, huenda ikawa shida kwenye moyo na unahitaji kuonwa na daktari.
Otherwise ni kawaida Kwa baadhi ya watu kuvimba miguu baada ya kukaa muda mrefu (kama ukiwa safarini). Hii inasababisha kubakia na maji mengi kwenye tissue.
Kama hauna utaratibu wa kufanya mazoezi, ungeweza kuanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa kunipa muongozoNenda hospitali ukaangalie presha yako kama iko Sawa. Iwapo ukibonyeza mguu unabonyea kama papai na kurudi kawaida baada ya muda mfupi, huenda ikawa shida kwenye moyo na unahitaji kuonwa na daktari.
Otherwise ni kawaida Kwa baadhi ya watu kuvimba miguu baada ya kukaa muda mrefu (kama ukiwa safarini). Hii inasababisha kubakia na maji mengi kwenye tissue.
Kama hauna utaratibu wa kufanya mazoezi, ungeweza kuanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Kuivimba miguu huendalinasababishwa na wewe una kilo nyingi au una matatizo kwenye figo lako halifanyi kazi vizuri amka asubuhi kabla ya kula kitu kinga mkojo wako upeleke hospitali wakapime figo lako je linafanya kazi yake vizuri?kishanjoo hapa utupe majibu yako wamesemöaje huko Hospitali? Dawa zaAsili zipo.Hellow
Kuna jambo linanitatiza. Nilisafiri October last year nilitoka Dar kwenda Moshi nilipofika asubuhi miguu ikawa imevimba (kwa chini si mguu wote) wakaniambia ni safari itakaa sawa ndio mara ya kwanza kuvimba mguu.
Juzi kwenye mkesha wa mwaka mpya kanisani ,asubuhi naona miguu imevimba tena na haina maumivu, jioni ya tarehe moja ikawa sawa.
Uzito: Nimepungua kutoka 95 - 75 kgs.
Wapendwa shida yaweza kuwa nini haswa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nione PM nikusaidie ama tuwasiliane kwa namba hizi 0620258276 free consultation ukifika ofisnHellow