bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 800
Mimi ni mume na nina mke na mtoto mmoja na ninaipenda sana familia yangu kupita maelezo nampenda mke wangu sana maana ameniletea mtoto mzuri na sasa ana umri wa miaka miwili mwenye afya tele.
Mke wangu alijifungua mwaka 2012 kwa njia ya kawaida na hakukua na tatzo lolote kabisa, lakini baada ya mwaka mmoja baadae yani 2013 akaanza na tatizo la KUTOKWA NA MKOJO BILA KUJIJUA.
Hali hii inamsononesha sana na hasa kwa sasa yuko masomoni anakua hana raha kabisa, tumezunguka sana mahospitalini lakini wanasema hakuna tatizo lolote ila kuna Dk. Prof. Mgaya ambaye anaclinic yake maeneo ya mbuyuni njia panda ya Osterbay alimwambia hana tatizo.
LakinI anastress na ajitahidi kunywa maji mengi sana ili awe anahisi mkojo na baadae hiyo hali itatoweka lakin hali iliiendelea mpaka nkampeleka CCBRT nkijua labda huenda ni fistula lakini madaktari walisema hana fistula kwamujibu wa vipimo na pia fistula huanza mara moja mwanamke anapojifungua.
Kwa muda wa miezi miwili iliacha kabisa lakini juzi akiwa anapresent project work yake tatizo hilo likajitokeza mbele za watu na kitendo hicho kimemuumiza sana na hata mimi naumia lakin sitaki kumuonyesha na nilimwambia nitampenda kwa hali yoyote kwakua mimi kwangu FAMILIA NDIO KILA KITU.
Tafadhalini mnaojua naombeni msaada nifanye nini tena?
NOTE
USHAURI USIWE WA KWENDA KWA WAGANGA NAOMBA WAKISOMI