Tatizo la kununua luku

Joined
Jan 26, 2022
Posts
2
Reaction score
6
Habarini za mchana wana JF,

Hivi ni mimi peke yangu napata shida ya kununua umeme au ni tatizo na kwa wengine?

Nimekuwa nikihangaika kununua umeme tangu asubuhi lakini naambiwa mpokeaji amefungiwa (Airtel) na muamala wako haukukamilika (Tigo).

Msaada tafadhali kwa mwenye kufahamu juu ya hilo.

====

 
Kote luku haipatikani
 
Alafu hata taarifa hawatoi,mitandao yote inagoma
 
Inasemekama mayahudi yamedukua mfumo wetu wa luku kwa sababu eti tumekataa kuwalaani Hamas kwa walivyowavyeka mayahudi tarehe 7 mwezi wa 10.

Sasa najiuliza tutawalaanije watu wanaojitetea kupambania nchi yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…