Mkuu mtafute Daktari wa mifugo wewe sio specialist maana utaambiwa uwape dawa utawapa wasipopona utatafuta dawa nyingine mwisho wa siku utatumia gharama nyingi ambazo ungekuita dktr wa mifugo angetatua.
Usipopata matokeo ama wakati ujao achana na hiyo fluban (labda kama itakupa matokeo mazuri). Mafua ya siku hizi ni sugu (mafua makali) hivyo uonapo dalili tumia dawa hii:
Changanya OTC 50% na Tylodox (Tyloxin) ya England.