Tatizo la kukosa usingizi

MKANDAHARI

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2011
Posts
5,758
Reaction score
6,692
Wadau naombeni msaada mwenzenu yamenifika. Nakosa usingizi kabisa. Nikinywa pombe ndo napata usingizi. Pombe za kila siku ukweli sizitaki. Naombeni msaada maana nateseka sana
 
Wacha pombe uanze kufanya ibada usiku uone kama utachukua hata nusu saa bila ya kusikia usingizi. Hilo ni ibilis tu linakuweka macho ili uendelee kupombeka na linajua ukilewa tu utazini, itafika mahali utayumba kiuchumi na hata kuitelekeza familia yako
 
Wadau naombeni msaada mwenzenu yamenifika. Nakosa usingizi kabisa. Nikinywa pombe ndo napata usingizi. Pombe za kila siku ukweli sizitaki. Naombeni msaada maana nateseka sana
Uislam ni mwema sana,haujaacha kitu kwenye maisha yetu ya kika siku.

Tunaofata mafunzo ya Kiislam tukikosa usingizi tunafurahuhi sana, tunapata wasaa mkubwa wa kufanya ibada za sala na nyiradi za usiku kwa utulivu.

Usilazimishe kulala, usingizi ukiwepo utalala tu, nyanyuka usali sana.

Usinywe pombe kuutafuta usingizi, rudi kwa Muumba wako kwa kuzidisha ibada.
 
Yaani unafurahi kukosa usingizi? Ushawahi kufika siku mbili bila kulala kabisa? Najua kasheshe nalopitia ndio maana nimekuja kuomba msaada humu. Usicheze na kukosa usingizi
 
Nafurahi sana, siku mbili kukosa usingizi ni kawaida tu.
.
Usingizi ukiwepo hauzuiliki. Usilazimishe kulala. Kulala ni nusu ya kufa, nani anataka kufa?
 
Wadau naombeni msaada mwenzenu yamenifika. Nakosa usingizi kabisa. Nikinywa pombe ndo napata usingizi. Pombe za kila siku ukweli sizitaki. Naombeni msaada maana nateseka sana
Tayari zimeshaharibu ubongo wako ambao kwa sasa unatafsiri kuwa huwezi kulala mpka unywe pombe.Ni kazi ngumu kidogo kuchomoka hapo ulipo ila inawezekana...
 
Yaani unafurahi kukosa usingizi? Ushawahi kufika siku mbili bila kulala kabisa? Najua kasheshe nalopitia ndio maana nimekuja kuomba msaada humu. Usicheze na kukosa usingizi
Yaani hata umakini kwenye kazi unakosa. Unakuwa ni mtu wa kukoseakosea tu yaani
 
Tayari zimeshaharibu ubongo wako ambao kwa sasa unatafsiri kuwa huwezi kulala mpka unywe pombe.Ni kazi ngumu kidogo kuchomoka hapo ulipo ila inawezekana...
Daaah!
 
Ujamuelewa, anasema ushauri wa kunywa pombe autaki
 
Uko sahihi sana kwenye hili,lakini sio kwenye uislamu tu hata kwenye ukristo iko hivyo...
 
Amiin
 
Tayari zimeshaharibu ubongo wako ambao kwa sasa unatafsiri kuwa huwezi kulala mpka unywe pombe.Ni kazi ngumu kidogo kuchomoka hapo ulipo ila inawezekana...
Kweli, awache kutafuta usingizi kwa pombe. Asali na kusoma sana.

Siyo tatizo kubwa, ni kuamuwa tu kuwa sasa sitaki kulala.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…