Jaribu kupima Presha labda ukiwa mazingira hayo presha huongezekaHabari zenu wakuu,
Naomba msaada, aisee mi niko na tatizo hili na ni kubwa sana kwa sasa.
Nikiwa na safari kwa njia ya basi au gari za kawaida, nakua na hali kama ya kuvurugwa hivi, nakua najisikia vibaya, kama ubongo unaelea hivi na mapigo ya moyo. Natamani tu gari lisimame.
Kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi, maana hata safari ya km 10 tu najisikia vibaya.
Naomba Naombeni msaada wakuu nahitaji hii hali inipoteee kabisa
Kama CPole sana, harufu ya mafuta ya gari inakudhuru...
Wengi harufu ya petrol au diesel zinawasumbua sana...Kama C
Yan alisumbua jamani
Hata safari ya Tegeta Mbagala kwake ilikuwa mzozo
Ninakumbuka hii hali ilinitokea nikiwa kwenye mminyano wa mwendokasi aisee sitasahau ile siku.Kama C
Yan alisumbua jamani
Hata safari ya Tegeta Mbagala kwake ilikuwa mzozo
Wewe pia unajisikia hivyo au wewe sugu?Kama C
Yan alisumbua jamani
Hata safari ya Tegeta Mbagala kwake ilikuwa mzozo
Nina tatizo kama lako, hii sio motion sickness kama mjumbe mmoja alivyosema hapo juu, hii hali hasa huchangiwa na uoga wa safari pia kuto kufanya safari mara kwa mara, solution ya kwanza uwe na usafiri wako mwenyewe yaani gari, ukishakuwa na gari jua utaliendesha daily safar fupi, za umbali wa kati na hata ndefu, ukiwa safarini ukajiskia vibaya kwanza park, shuka upate hewa kisha utaendelea na safari. Namna ya pili hakikisha huna njaa wakati wa safari, usile chakula kizito ila kiwe chepesi chenye nguvu na maji maji yenye sukari mf soda na hata redbul ila sio energy drink zingine, pia kama utalazimika kusafiri na basi la watu wengi basi book siti ya dirishani, wewe hutakiwi kukosa hewa, ikiwezekana panda luxury bus yenye watu wachache na a/c, ikitokea ukajiskia vibaya kunywa maji kidogo kidogo huku umefumba mambo na kujiegesha ukipata usingiz huwa ni nzuri zaidiHabari zenu wakuu,
Naomba msaada, aisee mi niko na tatizo hili na ni kubwa sana kwa sasa.
Nikiwa na safari kwa njia ya basi au gari za kawaida, nakua na hali kama ya kuvurugwa hivi, nakua najisikia vibaya, kama ubongo unaelea hivi na mapigo ya moyo. Natamani tu gari lisimame.
Kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi, maana hata safari ya km 10 tu najisikia vibaya.
Naomba Naombmoi msaada wakuu nahitaji hii hali inipoteee kabisa
Na soln uwa ni fresh air, maji na ukae kitako utulie kidogo..Ninakumbuka hii hali ilinitokea nikiwa kwenye mminyano wa mwendokasi aisee sitasahau ile siku.
Mie nishakuwa suguWewe pia unajisikia hivyo au wewe sugu?