sawa, yani wakati nazima pc, nikibofya pale kwenye ku shut down, ina zima alafu inawaka tena, yani ina restart wakati mimi nimebonyeza shut down nataka izime kabisa sio ku restart, nadhani nimefunguka zaidi[/QUO
jaribu ku scan virus ili kujua haina malware mana aina hii ya virus inapenda sana kusababisha hilo tatizo sijui unatumia antvirus gani na ipo strong kama eset smart security 5 ni nzuri kwa ku scan
njia nyengine right click my computer nenda proparties divice manager nenda ktk universal serial bus controller click kale ka mshale cha ku extend ingia ktk usb root hube right click nenda power management utaona mahali pameandikwa allow the computer to turn off weka tick jaribu