Tatizo la kiuno

Dec 2, 2012
66
21
Jaman wadau naombeni msaada kama kuna spitali ambayo inahusika na viungo vya mwili naomba nielekezwe ili nikaangalie hali yangu.
Kwasababu nna muda wa mwaka sasa nasumbuliwa na maumivu ya kiuno yaani nikienda chafya naumia.
Nikiinama naumia nikifanya kama kubendi naumia.
Pia najihisi hata nipewe mke pia cmuezi.
Mda mwengine mguu pia unaingia ganzi.
Hasa pale nnapo simama kwa muda mrefu.
Naombeni mnisaidie kwa hili na nipo tayr kutoa kiasi chochote lakn nipone kwa uwezo wa mungu.
Nashkur sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom