Lawrichie
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 879
- 2,451
Kwema huku wadau wa masuala ya teknolojia? Poleni kwa majukumu na jitihada za kujikinga dhidi ya covid 19. Nina tatizo dogo naamini mtanisaidia maana humu kuna wataalamu wengi tu wa IT.
Kuna Desktop ya HP imeletwa ofisini inawakia kwenye CD ROM. Na ni mpaka uchomoe USB zote ndio iwake. Nikaenda kwenye BIOS Setting vizuri ili nibadilishe Boot Order iwe kwenye Hard Drive ili iwake kawaida lakini keyboard baadhi ya batani muhimu hazifanyi kazi. Mf. key arrows zinafanya lakini ukitaka ku-enter ili kubadilisha setting, enter haifanyi kazi. USB front port ziko off ukitaka kuziruhusu ziwake haiwezekani maana enter key haifanyi kazi.
Nimejaribu kupekua mitandaoni kama nitapata solution lakini hakuna cha maana. Naombeni msaada wenu wakuu katika hili... Naamini kuna wataalamu wengi tu humu.
Ahsanteni na karibuni.