vanmedy
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 2,698
- 1,395
habari wakuu... Ebwana haka kajisimu kangu ilikuwa ghafla tu camera ya nyuma inagoma kugonga picha... "'ni kwamba ukiclick camera icon inafunguka na kubakisha rangi nyeusi tupu bila lens ya camera kuonekana''' nimegoogle nikagundua ni tatizo la hizi simu ila sijapata exact solution ya hili tatizo... Naombeni michango yenu kimawazo wadau KABLA FUNDI HAJAENDA KUNIIBIA SENTE ZANGU
copy to chief-mkwawa mzee wa nokia
copy to chief-mkwawa mzee wa nokia
Last edited by a moderator: