Tatizo la jicho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la jicho!

Discussion in 'JF Doctor' started by Eshacky, May 3, 2011.

 1. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana JF, nitumain langu mu wazima wa afya, mimi nina tatizo la jicho la kulia,ambapo huwa ngoz ya jicho hucheza cheza kwa ndan, yaan km mishipa huvuta vuta nahisi km jino linafumba fumba, ila nikimulza m2 kama anaona jicho lina blink. Jibu n hapana, Ni kama mwez linafanya hivyo pasipo maumivu, ila kuna wakat linawasha.
  Ni tumaini langu kupata ushaur wa kidaktar kutoka kwenu wajuzi wa mambo ya kiafya.
   
 2. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2011
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 594
  Likes Received: 161
  Trophy Points: 60
  i ma having same problem... wewe unasema kama mwezi mi nimeshazoe nafikir it almost years now linakuwa linacheza occasionaly sio kila siku... inaweza ikatokea mara mbili au tatu kwa mwezi.
   
 3. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  mi ni kila cku, mpk najishtukia, alafu kna kipind linawasha knoma, so yawezekana c ugonjwa?
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  we unazungumzia jicho lipi kwanza maana unanichanganya
   
 5. GABLLE

  GABLLE Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 60
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtumie riwa private msg akusaidie.
   
 6. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  we unahc jicho lipi! Acha fkra za majitaka.
   
Loading...