Tatizo la internet kwenye mtandao wa Tigo

Tatizo la internet kwenye mtandao wa Tigo

KEMPANJU BOY

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
508
Reaction score
1,255
Jamani nyie Tigo sasa nimechoka kazi nyie kuandika 4g hivi si bora iwe 2g inayofanya kazi kuliko huu ujinga?
Yaani kwa siku internet yenu inafanya kazi lisaa limoja tu! Ikifika usiku ndiyo sasa inakuwa shida, tunachoka sasa kuwavumilia.
 
Angalia pia na aina ya simu unayoitumia maana mm line ya tigo ndio naitumia kustream mechi za EPL na sioni shida.
 
Angalia pia na aina ya simu unayoitumia maana mm line ya tigo ndio naitumia kustream mechi za EPL na sioni shida.
Japo mimi siyo mbobezi wa mambo ya Technologia lakini kazi ya simu si ni kusoma laini tu na mtoa huduma (Tigo) ndiye anahusika na ubora wa huduma (internet). Ndiyo maana wanasema tumia simu yenye kusapoti 4g au 3g na pia wanaongeza tumia internet ya Tigo yenye spidi siyo tumia simu ya iPhone yenye spidi kwenye internet.

Kama si kweli nakubali kukosolewa
 
Jaribu kuangalia settings za internet. Mara nyingi ukiweka laini inafanya settings automatically. Unakuta kuna neno tigoweb. Hiyo inakuwa ni 2G. Add new APN. Pale kwenye name andika tigo internet na kwenye APN andika internet then save halafu chagua hiyo APN uliyocreate. Hapo kama maeneo mazuri itaonesha 4G kabisa bila tatizo
 
tigo ni tatizo sana,kwa huduma zao zisizo za uhakika ilinifanya nihamie voda.
 
Tigo Internet ni majanga makubwa, kitu cha mb 4 inaniambia 30min letf to download. Ikifika kuanzia saa kumi jioni hata image za whatsapp hazidownload. Hapo network ipo h+ au inasoma LTE
 
Jaribu kuangalia settings za internet. Mara nyingi ukiweka laini inafanya settings automatically. Unakuta kuna neno tigoweb. Hiyo inakuwa ni 2G. Add new APN. Pale kwenye name andika tigo internet na kwenye APN andika internet then save halafu chagua hiyo APN uliyocreate. Hapo kama maeneo mazuri itaonesha 4G kabisa bila tatizo
Ndugu inaandika 4g kama kawaida tatizo haifungua Web. Ikitokea imefungua ni spidi ya kobe sasa unajiuliza hii ni 4g au 1g?
 
Ndugu inaandika 4g kama kawaida tatizo haifungua Web. Ikitokea imefungua ni spidi ya kobe sasa unajiuliza hii ni 4g au 1g?
Mi nilipo aitel yenye 3g naweza ku stream mechi ya dk 90 in 720dp bila tatizo lolote ila tigo yenye 4g hata status ya whatsapp haiplay, Instagram tigo haifungui kabisa
 
Yaan huku nilipo tigo 4g inakimbiza sana jana ndo ilikuwa inasumbua ikawa inashuka hadi iya iyo 2.1 mbs
IMG-20181215-WA0001.jpeg
 
Jamani nyie Tigo sasa nimechoka kazi nyie kuandika 4g hivi si bora iwe 2g inayofanya kazi kuliko huu ujinga?
Yaani kwa siku internet yenu inafanya kazi lisaa limoja tu! Ikifika usiku ndiyo sasa inakuwa shida, tunachoka sasa kuwavumilia.
Tafuta namba zao zile za voda uwapigie uwalalamikie
 
Tigo ni mtandao wa palepale karibia na makao makuu y'ao.ukitoka tu pale hesabu umeumia. Halafu kingine sms zao zinanikera hadi kero
 
kuna siku nilikuwa na movie yangu nataka niipakue, basi nikasema nitumie tigo 4g ili niokoe muda ila cha ajabu baada ya mtandao kusoma 4g speed ilikuwa chini balaa yani mpaka nikawa nashangaa ikabidi nirud kwenye 3g tu at least speed yake ilikuwa inaridhisha lakini nilishangaa sana yani una switch 4g hata ku view whatsapp status inashindikana
 
Natumia samsung j7 nimesajiri lain ya tigo kwa intanet tu lakin hata mimi imefika kabisa tigo shop wameshindwa sijui kwanin tigo
 
Back
Top Bottom