hill ni tatizo la battery asikudanganye mtu badilisha battery uone hilo tatizo hata mimi limewahi nikumba kwa simu kama yako hiyo.
Kujua kama emmc ni nzima ama tayari ishakufa bonyeza bottons za pembeni yaani volume up na volume down kwa pamoja kisha bonyeza power usiachie hadi kwenye kioo paje rangi ya pink! Hiyo rangi ya pink kama haitoki hiyo cm inapona ila kama inakuja na kutoka hapo tena cm ndo hamna
Reboot hiyo simu, toa betri halafu rudishia, wakati unawasha bonyeza kitufe cha volume up pamoja na kitufe cha power kwa wakati mmoja, itakupa menu, kwenye hiyo menu chagua reboot, itawaka na haitazima tena ila baadhi ya app na setting zitatoweka. Hiyo process inaitwa hard resert .
Waungwana samahanini sana, kama kuna mtu alishawahi kukumbana na hali hii anishauri yeye alifanya nini?
Nina simu tajwa hapo juu,(Huawei y 300,) ilianza yenyewe kuwaka na kmsha kujizima na kila fundi ninaempelekea anadai hawezi kotengeneza je ni kweli hizi simu hazitengenezeke?
Inakuwa kama inataka kuwaka then inajizima!
Kujua kama emmc ni nzima ama tayari ishakufa bonyeza bottons za pembeni yaani volume up na volume down kwa pamoja kisha bonyeza power usiachie hadi kwenye kioo paje rangi ya pink!
Hiyo rangi ya pink kama haitoki hiyo cm inapona ila kama inakuja na kutoka hapo tena cm ndo hamna.