Ujenzi unaoendelea ktk barabara hii umezidi kusababisha foleni Sijui wahusika wako wapi.kwanini ujenzi usifanyika usiku. gari inamwangilia maua du tanzania inasikitisha na kukatisha tamaa. Wahusika tusaidieni
Rudi Kijijini ulipotoka huko hakuna foleni.Ujenzi unaoendelea ktk barabara hii umezidi kusababisha foleni Sijui wahusika wako wapi.kwanini ujenzi usifanyika usiku. gari inamwangilia maua du tanzania inasikitisha na kukatisha tamaa. Wahusika tusaidieni
Its true folen kwasasa imepungua kidogo ukilinganisha na kipndi cha nyuma. May b mtoa mada haitumii morogoro road daily
Its true folen kwasasa imepungua kidogo ukilinganisha na kipndi cha nyuma. May b mtoa mada haitumii morogoro road daily