Nakuonea huruma! Foleni inasababisha na mipangilio mibovu ya mtawanyiko wa ofisi na masoko. asubuhi magari yanajipnga kuelekea sehemu moja. na jioni kurudi kwa shida.Foleni itapungua pale tu public transport itakapokua imara na si vipanya na costa kutumika.kutumia kodi haiepukiki maana ndicho chanzo peke cha mapato ya serekali. Mimi nashahuli kujengwe public parking maeneo kama ubungu, mwenge,Tazara,na kurasini kisha kuwekwe mageti ili anaetaka kuingia mjini ni kigari chake alipie kiasi kama elfu 20 kupita kwenye geti hilo au apaki gari apande bus. Utaona jinsi msongamano mjini utapungua na mapato kuongezeka.
Nakuonea huruma! Foleni inasababisha na mipangilio mibovu ya mtawanyiko wa ofisi na masoko. asubuhi magari yanajipnga kuelekea sehemu moja. na jioni kurudi
kwa shida.
Mi naamini kama wizara , mabenki yange tawanywa, kungekuwa na unafuu. Tatizo wizara zote ziko eneo moja, Soko la kariakoo kila mfanya biashara anahangaika kwenda k/koo, unadhani magari yanaki wapi? Tatizo sio public transport, bali ni location ya eneo moja na kila mtu anahangaika kwenda kupata huduma