Safi sana, unajua ilikuwa inashangaza yaani kuna mkataba usiovunjwa? Ndoa ya kikatoriki yenyewe inavunjwa pamoja na masheria yoote
onyango mwenyewe alitaka kusepa akachungulia mkataba wake akajikuta Gharama yake ni kama b 1 na nusu akanyuti, sembuse milioni 100 thamani ya feisal akailipa na kusepa