kalooo 25594
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 303
- 195
Brand Za kimaskini hizoNdg Naomba msaada kama kuna uwezekano Wa kutengeneza tatizo LA kupata krack na kuwa na wino kwenye screen model no. GVA 32A1 kampuni ya soyiView attachment 1349338
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nimecheki naona GOOD VISION nikajua hapo hamna kitu.
Kiongozi, vitu vya bei nafuu, vina gharama kubwa.Ndg Naomba msaada kama kuna uwezekano Wa kutengeneza tatizo LA kupata krack na kuwa na wino kwenye screen model no. GVA 32A1 kampuni ya soyiView attachment 1349338
Sent using Jamii Forums mobile app
Check huyo manufacturer na model ya tv yako kisha agiza nje wakuletee kioo, mafundi wapo hapahapa Tz watakuwekeaNdg Naomba msaada kama kuna uwezekano Wa kutengeneza tatizo LA kupata krack na kuwa na wino kwenye screen model no. GVA 32A1 kampuni ya soyiView attachment 1349338
Sent using Jamii Forums mobile app
Uza iyo ata 50000 ongezea Pesa kanunue TCLNdg Naomba msaada kama kuna uwezekano Wa kutengeneza tatizo LA kupata krack na kuwa na wino kwenye screen model no. GVA 32A1 kampuni ya soyiView attachment 1349338
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini apoteze muda wote huo!!!?Check huyo manufacturer na model ya tv yako kisha agiza nje wakuletee kioo, mafundi wapo hapahapa Tz watakuwekea
Ingekuwa ni TV ya Sony ningesha ngaa lakini kumbe ni SoyiNdg Naomba msaada kama kuna uwezekano Wa kutengeneza tatizo LA kupata krack na kuwa na wino kwenye screen model no. GVA 32A1 kampuni ya soyiView attachment 1349338
Sent using Jamii Forums mobile app
Zote hizo ni takataka za aina moja
Watanzania tuna stress za maisha sana...mtoa mada anataka suluhu la tv yake utamwambiaje akatupe??...akishatupa hela ya kununua nyingne utampa ww??...na je hzo samsung unazoziongelea huwa hazipat matatizo??...idiot[emoji48][emoji48]Katupe jalalani haraka,
nenda kanunue Samsung
tv gani inaitwa goodvision??
Mkuu usitake nife kwa kucheka[emoji23][emoji23][emoji23]Katupe jalalani haraka,
nenda kanunue Samsung
tv gani inaitwa goodvision??
Hapo hakuna ujanja zaidi ya kubadirisha kioo bila shaka hiyo ni nnch32 sreen yake zinauzwa laki tatu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
TCL ni brand nzuri. Hata nchi za Ulaya zipo. Hayo ma ''Soyi'' sijui ndiyo makombo ya mchina. Kwa kifupi brand kama Sony, Philips, Samsung, LG, TCL, Procaster ni brand nzuri. Lakini uwe makini kwani mchina amepenyeza TV zenye majina na mwonekano kama hizo brand lakini ni fake.Zote hizo ni takataka za aina moja
Badilisha kioo hapo bei yake ni laki mbili na nusu unapata kioo safi,ukiwa tayari kuna fundi yupo Kariakoo nikuunganishe naeNdg Naomba msaada kama kuna uwezekano Wa kutengeneza tatizo la kupata krack na kuwa na wino kwenye screen model no. GVA 32A1 kampuni ya soyiView attachment 1349338
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikuuzie yangu ni TCL Smart inchi 32 laki nne