wende
JF-Expert Member
- Sep 6, 2009
- 714
- 65
Nina komputer yangu aina ya SONIC ambayo kwa muda mrefu nilikuwa sija-update Antivirus yake (Avast) kutokana mazingira niliko....hakuna mtandao!
Muda mwingi imekuwa ikinisumbua sana kutokana na kuendelea kuitumia hali ikiwa out of date,siunajua,mara igome kuwaka,mara inastucky etc..
Ni jana tu ndo nikawa ktkt mazingira yenye mtandao kwa ajili ya to update. Kwa kutumia modem ya Zain,iliunganisha kwa ajili ya ku-update Avast na ili-run for just a minute na then ikazimika kabisa! I switched on na ikawaka vizuri tu mpaka ktk "Log On to windows". But ajabu ni kuwa nilinyoandika password for switching on,ikaandika Loading for personal settings.....then ikarudi pale ktk log on windows screen kama nilivyoonyesha in my attachment.
Ni kuwa haifunguki na kuonyesha ile Start up Menu badala yake inajirudia ktkt "Log On to windows"!
SWALI:Nini kimetokea na Nifanye nini ili kutatua tatizo hili?
Naomba kuwasilisha.