Mkuu jaribu kuchajia na chaja ya aina nyingine tofauti na iyo ya Tecno. Kwasabab chaja za Tecno nyingi kile kichwa chake/pin ambacho huingia kwenye simu yako huwa mara nyingi haziwi tighted so ukipata chaja ya smartphone nyingine jaribu uone kutakuwa na mabadiliko gani. Nilikuwa natumia H5 kwa chaja ya Tecno na kulikuwa na matatizo km hayo lkn baada ya kubadili aina ya chaja mambo yalibadilika.