Liagalie tatizo lako kwanza kabla ya kutaka kutoa boriti kwa CCM. Nyie ni umoja utakao kufa tarehe 25 October. Umoja wenu umesha anza kupuputika na kuweweseka. Umoja wenu hauna sera zaidi ya pipozzz. Umoja wenu ni dhaifu na unasubiri kuzikwa rasmi na kisheria tarehe 25 October.UKAWA wamekuwa wakisikika wakisema kwamba tatizo siyo mtu bali ni mfumo wa CCM na ni lazima kuubadilisha huwo mfumo!
Sasa swali langu kwa ukawa kama tatizo la CCM ni mfumo na Je, mnataka kuleta mfumo gani wa utawala ulio bora zaidi ya huu wa CCM?
Je, ni wa chadema, NCCR au CUF? Je mnaweza kuniambia kwamba chadema wana mfumo bora klk huu wa CCM? rejeeni jinsi Mwenyekiti wa chadema anavyopatikana, jinsi fisadi Lowasa alivyopewa nafasi ya kugombea uraisi bila kushindanishwa na yoyote yule, matumizi y ruzuku za chama hakuna ukaguzi wowote ule na hakuna anayejua isipokuwa Mbowe jinsi fedha zinavyotumika n.k!
Hivyo ingawaje mnaweza kuwa sahihi wamba CCM kuna matatizo lkn huko kwingine kwa fisadi Lowasa kuna matatizo makubwa zaidi!
UKAWA wamekuwa wakisikika wakisema kwamba tatizo siyo mtu bali ni mfumo wa CCM na ni lazima kuubadilisha huwo mfumo!

Katiba ya warioba iliweka kila kitu wazi. Kaisome
Mfumo mpya chini ya katiba ya wananchi.
Mfumo utakaokuwa sikivu kwa sauti ya umma.
Mfumo ambao hautakuwa unalinda na kusafisha mafisadi.
Mfumo utakaotumia rasilimali za taifa kunufaisha wananchi wote.
Mfumo utakaojaribu kuikwamua Tanzania kiuchumi jambo ambalo limeshindikana toka Uhuru.
Mfumo utakaohakikisha mikataba yote inazingatia maslai ya Taifa.
âMbona una hangaika hivyo,kijana sikia wewe...
â¢Unataka kujua NI MFUMO GANI BORA WA UTAWALA KULIKO HUU WENU MAFISIEMU UTAKAOLETWA NA UKAWA SIO?,JIBU:SUBIRI BAADA YA OCTOBER-25th nchi ichukuliwe na LOWASSA NDO UTATAMBUA HUO MFUMO BORA WA UKAWA DHIDI YA HUU WENU WAKIDHALIMU!
â¢Hivii unajielewa kweli wewe?...unavyosema ETI REJEENI MWENYEKITI WA CHADEMA ANAVYOPATIKANA...INA MAANA ULITAKA MIFUMO YA UPATAJI MWENYEKITI UFANANE NA WA CCM WAKATI VYAMA VINA KATIBA TOFAUTI AMBAZO ZINA MIONGOZO YAKE HIVYO KAMWE HAVIWEZI KUJA KUWA NA NJIA MOJA YA KUMPATA MWENYEKITI.
â¢Pia unavyosema ETI LOWASSA ALIVYOPEWA KUGOMBEA URAIS BILA KUSHINDANISHWA NA WENGINE,NI WAZI BADO UNALINGANISHA UPATIKANAJI WA MGOMBEA URAIS NDANI YA CCM NA UKAWA...JE ULITAKA TARARIBU ZAO ZIFANANE??
â¢Pia unavyosema RUZUKU ZA CHADEMA HAKUNA UKAGUZI...NAOMBA UNILETEE REPORT YA UKAGUZI WA RUZUKU ZA CCM KWANZA ALAFU NDO NKUPE HIYO YA CHADEMA...SAWAAA???
â¢Usiseme Tunaweza kuwa sahihi tunavyosema kuwa MFUMO WA CCM NI MBOVU...BALI NI UKWELI KUWA TUMECHOSHWA NS MFUMO HUO WA KIFHALIMU.
âHAMNA NAMNA TENA CCM WAMEKWISHA AWAMU HII NA TUNASEMA CCM #OUT.
haya tumekuelewa taratibu za Ccm na Chadema/Ukawa hazifanani....Tuambie sasa upi utaratibu bora?....Husitake tukuchague afu ndo utuonesha Mfumo wako, Mnabahatisha ama?