PetterIsuti
Senior Member
- Nov 29, 2014
- 118
- 28
Habari zenu wana jukwaa, i hope mko poa.
Mimi nina tatizo moja simu yangu aina ya techno h6 camera yake imegoma kufanya kazi kila nikienda kwenye camera inaniandikia hivi Can not connect to camera sasa nashindwa kuelewa tatizo nini, kama kuna mwenye kufahamu tatizo hilo linatatuliwa vipi anisaidie.
Fanya factory setting
Mi lilinitesa ila nilizima na kuwasha upya tatizo likaisha.
Na mim nina tatzo ilo ilo asee
Tupa hiyo simu itakulipukia
Habari zenu wana jukwaa, i hope mko poa.
Mimi nina tatizo moja simu yangu aina ya techno h6 camera yake imegoma kufanya kazi kila nikienda kwenye camera inaniandikia hivi Can not connect to camera sasa nashindwa kuelewa tatizo nini, kama kuna mwenye kufahamu tatizo hilo linatatuliwa vipi anisaidie.
Camera imechomoka kwenye connection yake,tafuta fundi mzoefu ataifungua simu na kuiconnect hiyo camera,tatzo litaisha tu maana nimekutana nazo nyingi sana