Tatizo la CAMERA kwenye tecno C9

Mkuu kwahiyo upo uwezekano wa kubadilisha kamera?
Inategemea pengine lens inavumbi so akifungua na kusafisha inakuwa poa ila Kama vumbi au ukungu upo ndani ya camera yenyewe hapo ni kubadili tu Kama spea zake zipo
 
Inategemea pengine lens inavumbi so akifungua na kusafisha inakuwa poa ila Kama vumbi au ukungu upo ndani ya camera yenyewe hapo ni kubadili tu Kama spea zake zipo
Ahaa asante mkuu
 
Fuata kila alichoshauri SPYMATE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…