pole naona uzi haujajibiwa duh 😊Habari wakuu kama uzi unavyojieleza hapo juu
Nina simu yangu tecno camon C9 ilipasuka tachi, nikafanikiwa kuipeleka kwa fundi mmoja hapa mtaani kubadilisha tachi nashukuru tachi imekaa vizuri inafanya kazi kama awali.
Lakini limeibuka tatizo lingine baada ya kutengeneza tachi yani CAMERA ya simu imepungua uwezo imekua na ukungu na chenga sana kiasi cha kushindwa kuscan hata document muhimu .
Nimekuja kuomba msaada kama naweza nikarekebisha hili tatizo au ndio basi tena ,Nawasilisha.
Rudisha Tena kwa huyo fundi wako akurekebishieHabari wakuu kama uzi unavyojieleza hapo juu
Nina simu yangu tecno camon C9 ilipasuka tachi, nikafanikiwa kuipeleka kwa fundi mmoja hapa mtaani kubadilisha tachi nashukuru tachi imekaa vizuri inafanya kazi kama awali.
Lakini limeibuka tatizo lingine baada ya kutengeneza tachi yani CAMERA ya simu imepungua uwezo imekua na ukungu na chenga sana kiasi cha kushindwa kuscan hata document muhimu .
Nimekuja kuomba msaada kama naweza nikarekebisha hili tatizo au ndio basi tena ,Nawasilisha.
Mkuu akiirejesha si ndo itanyesha mvua kabisa...kama ishaanza na ukunguRudisha Tena kwa huyo fundi wako akurekebishie
Habari wakuu kama uzi unavyojieleza hapo juu
Nina simu yangu tecno camon C9 ilipasuka tachi, nikafanikiwa kuipeleka kwa fundi mmoja hapa mtaani kubadilisha tachi nashukuru tachi imekaa vizuri inafanya kazi kama awali.
Lakini limeibuka tatizo lingine baada ya kutengeneza tachi yani CAMERA ya simu imepungua uwezo imekua na ukungu na chenga sana kiasi cha kushindwa kuscan hata document muhimu .
Nimekuja kuomba msaada kama naweza nikarekebisha hili tatizo au ndio basi tena ,Nawasilisha.
asante sana mkuu,ngoja nifanyie kazi hiliMi natumia tecno toka nimeanza kutumia smartphone, haijanisumbua, usisikilize watotowa shule tengeneza simu yako. Japo ni tecno ila yangu inakaa na chaj siku 3 wenye samsung, oppo, sijui iphoneza milioni 2, wanatembea na powerbank, naweza hata kuchaj simu zao kutoka kwenye tecno yangu whatsap napata, simu napiga na kupokea, ina functions nyingi kuliko hata samsunga ambazo ni automated kwa ajili ya kukupunguzia kazi why uikandia tecno
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafundi wengi hawapo makini mkuu!!Mkuu akiirejesha si ndo itanyesha mvua kabisa...kama ishaanza na ukungu
hahahahahaaMkuu akiirejesha si ndo itanyesha mvua kabisa...kama ishaanza na ukungu
hahahhaahaaa
Kwamba hauzijui au....duh simu ndo kama ipi mkuu
Nina mashaka akiipeleka itarudi na tatizo lingine...Mafundi wengi hawapo makini mkuu!!
Wakati wanareplace digitized touch screen aj LCD wanatakiwa wahakikishe vitu vyote viko sawa kabla ya kufunga.
Inabidi aifungue asafishe camera kuondoa vumbi kwenye lens au abadili kamera kabisa.